Posted on 1 Comment

Aina za maigizo katika Fasihi Simulizi

AINA ZA MAIGIZO

Makala haya yanafafanua aina kuu za maigizo, wala si vipera vya maigizo

Maigizo ni utanzu muhimu sana katika Fasihi Simulizi. Watendaji huweza kuiga tabia za wahusika wengine ili kuwasilisha ujumbe fulani katika jamii. Utanzu huu una vipera mbalimbali kama vile, vichekesho na michezo ya jukwaani.

Leo nitazungumzia aina mbili kuu za maigizo. Aina ni tofauti na vipera. Maigizo yamegawika katika aina mbili kuu ambazo ni;

  1. Sanaa ya maonyesho.
  2. Maigizo ya kawaida.

SANAA YA MAONYESHO read more

Content Protection by DMCA.com
Share this;
Posted on Leave a comment

Uchanganuzi wa sentensi

picha ya kishazi tegemezi

Utangulizi

Hatua ya kwanza katika kuchanganua/kupambanua sentensi ni kutambua aina yake. Kuna aina tatu za sentensi kimuundo. Kuna sentensi sahili, sentensi ambatano na

sentensi changamano read more

Content Protection by DMCA.com
Share this;