Posted on Leave a comment

Aina za Virai

kirai

Maana ya kira

  1. Neno au fungu la maneno ambalo halina maana kamili.
  2. Sehemu ya sentensi ambayo haina muundo wa kiima kiarifu

Sifa za kirai

  • Huweza kuwa neno moja au fungu la maneno
  • Kirai huwa na maana lakini maana hiyo si kamili
  • Kirai hakina muundo wa kiima kiarifu
  • Kirai huanishwa kulingana na neno lake kuu

Aina za virai

Tazama sentensi ifuatayo :

Msichana mrembo sana ameketi nyuma ya nyumba. read more

Content Protection by DMCA.com
Share this;