Posted on Leave a comment

Sifa za Wahusika

Mifano ya sifa za wahusika katika fasihi

 • Mzinifu
 • Mzalendo
 • Mwenye umimi
 • Mwenye tamaa
 • Mwenye taasubi ya kiume
 • Mwenye majitapo
 • Mwenye kiburi
 • Mwenye bidii
 • Mwadilifu
 • Muuaji
 • Jasiri
 • Dhalimu
 • Mtetezi wa haki
 • Mshirikina
 • Msamehevu
 • Msaliti
 • Mpyoro
 • Mpumbavu
 • Mnafiki
 • Mkatili
 • Mdanganyifu
 • Mchonganishi
 • Kibaraka
 • Msomi

Tazama: Namna ya kutambua sifa za wahusika

Content Protection by DMCA.com
Share this;
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments