Sale!

Mwongozo wa kutahini sarufi na Isimujamii

KShs300.00 KShs200.00

Mwongozo wa Kutahini Sarufi na Isimujamii ni kitabu kidogo ambacho kimeandikwa kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi kujitahini wao wenyewe. Maswali yamepangwa vizuri kwa kuangazia mbinu mbalimbali za kutahini zinazotumika katika karatasi ya pili ya mtihani wa kitaifa.

Format: pdf

Pages: 120

ISBN: 9789966804556

Share this;

Mwongozo wa Kutahini Sarufi na Isimujamii ni kitabu kidogo ambacho kimeandikwa kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi kujitahini wao wenyewe. Maswali yamepangwa vizuri kwa kuangazia mbinu mbalimbali za kutahini zinazotumika katika karatasi ya pili ya mtihani wa kitaifa.

Kitabu hiki kitawafaa wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi kidato cha nne.Wanafunzi wa kidato cha nne watafaidika sana wanapojitayarisha kuufanya mtihani wa kitaifa (KCSE). Walimu watakitumia kutunga maswali ya mitihani na kutayarisha mazoezi ya lugha darasani.

Mwandishi ameshughulikia vipengele vyote vya matumizi ya lugha na isimujamii kulingana na silabasi ya Kiswahili.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

0
    0
    Your Cart
    Your cart is emptyReturn to Shop
    Open chat