Posted on

Kiswahili Syllabus Form 1

KIDATO CHA KWANZA

KIDATO CHA PILI

KIDATO CHA TATU

KIDATO CHA NNE

KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

 1. Matamshi bora
  1. Kiimbo
  2. Shadda
  3. Irabu/vokali-/a/,/e/,/i/,/o/,/u/
  4. Konsonanti-/b/,/ch/,/d/,/dh/,/f/,/g/,/gh/,/h/,/j/,/k/
  ,/l/,/m/,/n/,/ng/,/ny/,/p/,/r/,/s/,/sh/,/t/,/th/,/v/,/w/,/y/,/z/
  5. Ala za sauti/kutamkia
  6. Namna ya kutamka na aina za sauti k.m
  ghuna,sighuna/hafifu,vipasuo,vikwamizo n.k
  7. Silabi
  8. Maneno
  9. Vitate k.m baba,papa
  10. Vitanza ndimi
  Maamkizi na mazungumuzo
 2. Maamkizi na mazungumuzo ya: (i)Nyumbani (ii)Dukani
  (iii)Mtaani (iv)Sokoni (v)Shuleni
  2. Mahojiano k.m mwalimu na mwanafunzi
  3. Mijadala k.m umoja na utangamano katika familia
  4. Hotuba

3. Ufahamu wa kusikiliza
1. Ufahammu wa taarifa za kusikiliza

4. Kusikiliza na kudadisi
1. Utangulizi wa fasihi:(i)Maana (ii)Aina
2. Fasihi simulizi (i)Hadithi (ii)Semi (iii)Ushairi
3. Maigizo:Yategemee shabaha na muktadha k.m
jandoni,sherehe za arusi n.k

SARUFI ZA MATUMIZI YA LUGHA

 1. Lugha
  1. Maana ya dhima ya lugha
  2. Sauti (i)Irabu/vokali (ii)Konsonanti (iii)Mpangilio
  wa sauti katika silabi na maneno
  3. Vipasho vya lugha:sauti-silabi-neno-sentensi

2. Aina za maneno
1. Aina za maneno(i)Nomino-N (ii)Vitenzi-T
(iii)Viwakilishi-W (iv)Vivumishi-V
(v)Vielezi-E(vi)Viunganishi-U(vii)Vihusishi-U(viii)Vihusishi-I
2. Kubainisha maneno katika tungo k.m Mtoto analia
3. Ngeli za nomino
1. A-WA,U-I,U-YA-YA-YA,LI-YA,KI-VI,I-ZI,I-I,U-ZI,U-U,KU,
PA-KU-MU
4. Viambishi
1. Maana
2. Aina-awali -Tamati
5. Nyakati na hali
1. Nyakati
2. Hali
3. Ukanushaji kutegemea
6. Mnyambuliko wa vitenzi
1. Viambishi vya mnyambuliko
2. Kauli Za vitenzi (i)Kutenda
(ii)Kutendewa(iii)Kutendeka(iv)Kutendana(v)Kutendea(vi)Kutendwa(
vii)Kutendesha

7. Sentensi ya kiswahili
1. Maana ya sentensi
2. Mpangilio na uhusiano wa maneno kimantiki katika
sentennsi ya kiswahili
3. Muundo wa sentensi
4. Sentensi sahili -Upambanuzi wa sentensi sahili
kuonysha muundo wake kwa njia ya mstari

8. Uakifishaji
1. Alama za kuakifisha: 1.Nukta/kitone/kikomo(.) 2.
Mkato/kipumuo/kituo/koma(,) 3. Nukta mkato/semi koloni(;)
4.Nukta pacha/nukta mbili/koloni 5.Kiulizi/kiulizo(?) 6. Alama
hisi(!) 7.Alama mtajo/za kunukuu/za usemi(\”\”)
8.Mkwaju/mshazari(/) 9.Kistari kifupi(-) 10. Kistari (_)
11.Mstari 12.Ritifaa/kibainisha(\’)
13.Mabano/vifungo/Parandesi(),[] 14..Herufi kubwa (H) na
herufi ndogo(h) 15. Herufi nzito (Hh) 16.Herufi
mlazo/italiki(Hh) 17.Nukta za dukuduku/mdikezo(…) 18.
Kinyota(*)
9. Ukubwa na udogo

10. Umoja na udogo

KUSOMA

 1. Kusoma kwa sauti
  1. Sauti mwambatano k.m/kw/mb/mw/ng/nj/nd/n.k
  2. Sentensi
  3. Vifungu vya maneno na aya
  2. Kusoma kwa ufahamu
  3. Kusoma kwa kina
  1. Riwaya
  2. Tamthilia
  3. Ushairi
  4. Kusoma kwa mapana
  5. Matunizi ya maktaba
  6. Matumizi ya kamusi

KUANDIKA

 1. Uandishi wa kawaida
  1. Majibu ya ufahamu
  2. Muhtasari
  3. Imla
  4. Uchambuzi wa maandishi mbalimbali2. Utungaji wa kiuamilifu
  1. Maana na dhima ya utungaji
  2. Barua (i )Kirafiki (ii)Ramsi
  3. Ratiba kama vile ya sherehe ya kuzaliwa
  4. Tahadhari (i)Onyo (ii)Ilani
  5. Matangazo
  6. Maagizo/maelekezo
  7. Kujaza fomu,stakabadhi na orodha
  8. Taarifa
  9. Mahojiano na dayolojia

  3. Uandishi wa insha

1. Maana na aina za insha (a)Picha (b)Mdokezo
(c)Maelezo (d)Masimulizi
4. Utungaji wa kisanii
1. Mashairi mepesi
2. Hadithi fupi
3. Vitendawili,mafumbo na chemsha bongo

Content Protection by DMCA.com
Share this;