Mwongozo wa Kutahini Sarufi na Isimujamii

Mwongozo wa Kutahini Sarufi na Isimujamii Newton Mawira

  • Mwongozo wa Kutahini Sarufi na Isimujamii ni kitabu ambacho kimeandikwa kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi kujitahini wao wenyewe.Maswali yamepangwa vizuri kwa kuangazia mbinu mbalimbali za kutahini zinazotumika katika karatasi ya pili ya mtihani wa kitaifa. Kitabu hiki kitawafaa wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi kidato cha nne.Wanafunzi wa kidato cha nne watafaidika sana wanapojitayarisha kuufanya mtihani wa kitaifa (KCSE).